FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumapili, 1 Oktoba 2017

BREAKING NEWS

HOT BUT PAIN: MAJONZI NDANI MWA FAMILIA YA MH JOSEPH HAULE (PROFESSOR J)

Hiyo ni baada ya nyumba ya mbunge wa mikumi MH JOSEPH HAULE maarufu kama
profesa J kubomolewa kwenye sakata la bomoabomoa linaloendelea jijini dar es salaam
tukio hilo limeonesha kumkera MH JOSEPH HAULE hali iliyopelekea mheshimiwa uyo kupost kauli ya kulaani kitendo hicho kama inavyoonesha hapo chini

endelea kutufuatilia kwa habari zenye uhakika zaidi
yuzhassal.blogspot.com


0 comments :

Chapisha Maoni