FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumatano, 18 Oktoba 2017

SHULALA YA HARMONIZE YAUFUNGUA MOYO WA WOLPER TENA

Hiyo ni baada ya penzi la harmonize msanii kutoka katika kundi la WCB wasafi anaye tamba sasa na nyimbo yake ya shulala aliyomshirikisha koredebello kutoka nigeria na jackline wolper muigizaji wa bongo movie kuvunjika miezi kadhaa nyuma
hali iliyopelekea kila mmoja wao kuingia kwenye mapenzi na mtu mwingine tukianza kwa upande wa wolper yeye alijikuta ameingia katika mapenzi na kijana anayejulikana kama BROWN pia kwa upande wa harmonize kuingia kwenye mapenzi na mzungu anayejulikana kwa jina la SARA
lakini siku tatu nyuma baada ya harmonize kuachia brand new video inayokwenda kwa jina la SHULALA aliyomshirikisha koredebello
nyimbo hiyo imeonekana kumkuna sana wolper hali iliyompelekea kupost katika kurasa yake ya instagram hiyo post

  • wolperstylishWe shulala wewe lala kesho sale @houseofstylish_tz #Darfremaket 61 msisahau kucheq shulala kwa bwana Raj @harmonize_tz
    Kwa Bio yangu pia ukiingia utaona full vdio 👌
  • hiyo ndiyo post aliyopost wolper na hiyo moja kwa moja inaonyesha kuwa wolper hana kinyongo chochote na harmonize 
  • tusubiri tuone kama penzi lao linaweza kurudi tena kama la vanessa na jux au harmonize atakubali kumuachia mzungu wake sarah 
  • endelea kutufuatilia kwa kuandika yuzhassal.blogspot.com
  • pia youtube kwa kuandika yuzhassal tv







































Maoni 1 :

  1. Baada ya miaka 2 ya kutengana, sasa tumeunganishwa tena kwa furaha! Mimi ni Judith Kamau kutoka Eldoret, kenya. Kwa miaka 4 niliishi katika ndoa yenye unyanyasaji, lakini baada ya kusoma ushuhuda kadhaa kuhusu Dk John katika makala mtandaoni. Niliamua kuwasiliana naye kwa spell maalum. Nilishangaa aliponiambia kwa usahihi matatizo yangu yote ya zamani na ya sasa na alinifunulia kuwa mume wangu alikuwa kwenye uhusiano na mwanamke mwingine. Dokta John alisema kuwa atanisaidia kumtenganisha yule mwanamke mwingine na mume wangu, nilifuata maelekezo yote aliyonipa na akafanya uchawi maalum uliotuunganisha mimi na mume wangu. Leo tunaishi pamoja kwa furaha.
    Unaweza kuwasiliana naye kupitia njia hii ili kupata suluhu la uhusiano wako au matatizo ya ndoa yako:

    Barua pepe:doctorjohn909@gmail.com.

    JibuFuta