Hiyo ni baada ya Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, kumpandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa madaraka zaidi katika chama tawala cha wafanyakazi.
Dada yake ajulikanaye kama Kim Yo-jong, anayekadirika kuwa na umri wa zaidi ya miaka 26 amekuwa mjumbe katika kamati kuu ya chama, ambalo ni baraza kuu la uamuzi linalojulikana kama politburo.
Bi Kim Yo-jong alipewa kwanza wadhifa wa kuwa afisa wa wa cheo cha juu wa chama, miaka mitatu iliyopita.
tukumbuke kwamba Familia ya Kim, imeongoza Korea Kaskazini, tangu nchi hiyo ilipoundwa, mwaka wa 1948.mpaka sasa 2017

0 comments :
Chapisha Maoni