FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumatano, 4 Oktoba 2017

OOOOH RASMI PENZI LA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARINA HASSAN LIMEFIKA TAMATI

Hiyo imeonekana rasmi katika happy birthday ya diamond platnumz kiongozi wa kundi la WCB wasafi baada ya zarina hassan kutohudhuria katika part iliyoandaliwa na diamond plutnumz 

pia zarina hassan ameushangaza umma kwa kutompost diamond platnumz kwenye mtandao wowowte wa kijamii siku yake ya kuzaliwa

lakini KUBWA ni baada ya kila mmoja wao namaanisha diamond platnumz
na zarina hassan kufuta picha zote instagram za aliyekuwa mwenzi wake
apo naamanisha diamond platnumz kufuta zote picha za zarina hassan
na pia zarrina hassan(uganda girl)kufuta picha zote za kaka etu chibu

endelea kutufutilia kupitia 
yuzhassal.blogspot,com
pia youtube kwa kuandika (yuzhassal tv)

0 comments :

Chapisha Maoni