FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumapili, 8 Oktoba 2017

USHAURI WA TID KWA PREZZO DHIDI YA KUMTILIA SHAKA UMBER LULU



Hiyo ni baada ya siku kadhaa nyuma kupita prezzo msanii wa HIP HOP kutoka 254 kenya kuonekana akiwa maeneo wakila bata na video vixin(video queen)umber lulu kutoka 255 bongo dar es salaam

Lakini top in dar es salaam (TID)alifunguka kwa ushauri mzito alipofanya interview na kituo kimoja cha television na kusema anamshauri prezzo kutumia kinga tena expensive kinga kwa maana yeye anamfahamu sana umber lulu

kauli hiyo ilionyesha kumkuna prezzo na kufunguka kwamba msanii TID anatafuta KIKI kwa prezzo kwasababu kapotea sana kwenye game ya bongo fleva




endele kutufuatilia kwa kuandika yuzhassal.blogspot.com

na kututazama youtube kwa kuandika yuzhassal tv

ahsante

0 comments :

Chapisha Maoni