Jina lake halisi alilopewa na wazazi wake ni Tony Albert.
Alizaliwa Tarehe 10/06 jijini Mwanza na kukulia ndani ya jiji la Dar es Salaam.
katika upande wa elimu TBWAY360 alisoma shule za Esaacs Primary School na Kampala International High School.
tony albert maarufu kama Tbway360 ana urefu wa futi 6.5
vitu anavyovipenda mtangazaji huyo ni kupiga picha, kuogelea, movie kusikiliza music na kuendesha magari kwa kasi zaidi.
najua watu wengi mtakuwa na hamu ya kufahamu ilikuwaje mpaka akapachikwa jina la TBWAY360 jibu ni hili apa Alipachikwa jina la TBWAY 360 akiwa na umri wa miaka 14 baada ya kuzungusha gari mzunguko wa duara yaani nyuzi 360
leo kwenye STATUS nilikuwa na TBWAY360
kesho unafahamu nipo na nani___________________________endelea kutufuatilia ili kujua nipo na nani katika STATUS ya YUZHASSAL TV
0 comments :
Chapisha Maoni