FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumamosi, 30 Septemba 2017

EXCLUSIVE: KING KIBA na OMMY DIMPOZ wataficha wapi sura zaoooo__________!

Hiyo ni baada ya DIAMOND PLATNUMZ kiongozi wa WCB wasafi kuachia kichupa kipya kinacho
kwenda kwa jina la HALLELUJAH alichomshirikisha MORGAN HERITAGE
kichupa icho kimevunja rekodi ya mtu mzima KING KIBA ya kufikisha viewers milion 01 baada ya masaa 38
lakini kwa HALLELUJAH yakwake DIAMOND PLATNUMZ kufikisha viewers milion 01 baada ya masaa 15 tu

Pia hiyo imekuwa mbaya pia kwa mtu mzima OMMY DIMPOZ baada ya kuachia video ya wimbo wake wa CHECHE lakini DIAMOND PLATNUMZ akaamua kuuzima kwa kuachia BRAND NEW SONG yake ya HALLELUJAH

usisahau kusubscribe katika chanel yetu youtube kwa kuandika (CAMS TV)
#yuzhassal

0 comments :

Chapisha Maoni