Hizo ni picha zilizotoka katika clip ndogo iliyoachiwa kwenye mtandao wa istagram na boss wake diamond platnumz anayejulikana kama salaam sk
lakini meneja huyo ameamua kuificha kidogo ili kuwaongezea hamu mashabiki wa WCB wasafi baada ya kupost clip hiyo ya video na kuiweka mute yani kutokuwa na sauti
jambo hilo limezidisha hamu kwa mashabiki wengi sana ulimwenguni
pia collabo hiyo itakuwa na faida kwa nchi pia kwa diamond WCB kwaujumla kwasababu tukirejea miaka kadhaa nyuma ambapo CHRIS BROWN alimtolea nje diamond platnumz ombi la kufanya collabo lakini kwa collabo hii itakayotoka soon kati ya diamond platnumz na rick rose inaweza kuwa chachu ya kumshawishi CHRIS BROWN kufanya collabo na DIAMOND PLATNUMZ
Pia kwa upande wa faida kwa taifa kwasababu itakuwa chachu ya kuitangaza nchi yetu katika mataifa yaliyoendelea hiyo itakuwa rahisi kwa kutengenezwa collabo nyingine kati ya msanii mkubwa wa nje na msanii mwingine kutoka tanzania kwasababu watatambua kuwa tanzania kuna vipaji vingi na vikubwa
endelea kutufuatilia kwa kuandika yuzhassal.blogspot.com
pia youtube kwa kuandika yuzhassal tv
0 comments :
Chapisha Maoni