Hiyo ni baada ya mashabiki wengi kupiga kelele kutokana na picha iliyovuja hamisa mobeto akiwa na jamaa mwingine wakiwa kitandani .hofu ya mashabiki ilikuwa juu ya mtoto wa hamisa mobeto huenda akawa siyo mtoto wa nasibu abduli(diamond platnumz) mwanzo hamisa alionekana kupotezea lakini baada ya idadi ya mashabiki kuongezeka wanayozungia picha hiyo.Hamisa mobeto aliibuka kwenye instagram page yake na kufunguka haya
Hiyo imeonyesha kuwa hamisa mobeto ataki kupoteza point kabisa kwasababu siku kadhaa nyuma hamisa mobeto alimshtaki nasibu abduli diamond platnumz kwa kosa la kutopeleka pesa za matumizi za mama na mtoto pia
hivyo kama ikagundulika kuwa ni kweli mtoto si wa diamond platnumz tutasubiri ni hatua gani diamond platnumz(nasibu abduli) atakazochukua
eendelea kutufutia kwa kuandika tu yuzhassal.blogspot.com pia youtube kwa kuandika yuzhassal tv
0 comments :
Chapisha Maoni