This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Jumanne, 19 Machi 2019
Jumatatu, 21 Januari 2019
Jumatano, 5 Septemba 2018
Jumatano, 4 Julai 2018
Jumatano, 13 Juni 2018
Jumatatu, 11 Juni 2018
Alhamisi, 31 Mei 2018
VIDEO YA IYENA GUMZO KITAANI
Hiyo ni baada ya video hiyo kuweza kutoka na video vixen kwenye video hiyo ni zarina hassan(zari the boss lady) hii inatoa maswali mengi sana kwa watanzania kwamba kuvunjika kwa penzi la diamond na zari ililuwa ni kiki ili kuweza kubost attention katika video hii au video walikuwa tayari wameshoot kabla bado ya kumwagana?
Je wewe una maoni gani weka maoni yako katika kurasa ya comment
Jumamosi, 26 Mei 2018
Jumapili, 20 Mei 2018
Jumapili, 29 Aprili 2018
Jumamosi, 28 Aprili 2018
Jumamosi, 31 Machi 2018
Ijumaa, 23 Machi 2018
Ijumaa, 19 Januari 2018
DIAMOND AONYESHA MAPENZI YAKE LIVE
Siku chache zilizopita baada ya lavalava kijana kutoka WCB kuachia brand new video yake ya KILIO boss wake alionesha mapenzi yake kwa kuipost Mara kwa Mara video hiyo
Lakini baada ya lavalava tena kuachia brand new video ya utatulia ameweza kumfanya diamond aweze kufunguka ya moyoni na kuonesha kumkubali zaidi lavalava kama inavoonekana katika picha hapo
Ijumaa, 5 Januari 2018
LAKUSHANGAZA KUTOKA KWA WEMA SEPETU
YUZHASSAL TV ENTERTAINMENT
Jambo lililowashangaza watu wengi sana ni baada ya page ya instagram ya wema_sepetu kufutwa post zote
Na kubaki tupu
Sababu ya wema kufuta kila kitu bado haijajulikana kaa karibu nasi katika instagram yuzhassal Facebook yusuph swaleh twiter yuzhassal na YouTube yuzhassal tv ili kupata update zote kama hizi
Jumatatu, 1 Januari 2018
MASOUD KIPANYA AIBUKA
Baada ya habari kuenea kila kona ya Tanzania na nje ya nchi pia hatimaye mtangazaji wa power breakfast ya clouds FM na mchora katuni masoud kipanya ameweza kuibuka instagram na kupost ujumbe kama unavouona katika picha hiyo
Kwa mbivu na mbichi ili kujua ni kipi kilichomsibu usikose kutizama kesho asubuhi clouds 360 ndani ya clouds tv
Imeandikwa na yusuph swaleh
PAPI KOCHA AJICHORA PICHA YA RAISI
Mashabiki wengi wa manguli wa music kutoka Tanzania{babu seya na papi kocha} walikuwa wakisubiria kwa hamu kwamba manguli hao wa music baada ya kuachiwa huru kutokana na tamko la raisi wa Tanzania MH john pombe magufuli ni shukrani ipi ambayo wangeweza kuitoa
Lakini leo 01-01-2018 imeweza kuenea kwa picha inayomuonesha papi kocha akiwa amejichora tatoo ya picha ya raisi magufuli kama fadhila za kuachiliwa huru
Pia papi kocha ameonekana katika picha hiyo akiwa amevaa t shirt iliyo na picha ya raisi na yenye maandishi yanayosomeka"tukutane kazini"
Jambo hilo ni kumuonesha raisi magufuli kwamba sasa hivi wapo tayari kuchapa kazi ili maisha yao yaweze kuendelea kama kawaida
Pia tufatilie YouTube kwa kuandika yuzhassal tv
Jumanne, 26 Desemba 2017
MSAMI KWENYE KITI CHA MOTO AFUNGUKA HAYA
Mwanamuziki wa bongo fleva na dancer msami ameweza kufunguka mambo mengi sana alipofanya mahojiano na @shadee_weriss wa clouds E ya clouds tv
Kwanza kabisa ni pale alipooulizwa kuhusiana na colabo yake bora ya mwaka 2017 na akaitaja collabo aliyofanya na chemical
Jambo la pili ni pale alipoulizwa kwamba ni yupi msanii bora kwake kwa mwaka 2017
Msami kwa hisia kali aliweza kufunguka kwamba msanii bora kwake 2017 ni aslay
Jambo la mwisho lililotaka kumtoa machozi msami ni pale alipoulizwa "kitu ambacho hawezi kukisahau kwa mwaka 2017"
Msami alifunguka kwa hisia Kali na kusema ni pale alipopata ajali iliyoyompelekea kushindwa kufanya baadhi ya shows na zingine alizojikaza kisabuni kuzifanya hazikuwa katika quality ya msami
Lakini msami hakusita kutoa shukrani kwa watu waliokuwa nae bega kwa bega katika matatizo hayo kwa kumtaja kwanza kabisa manager wake,wazazi wake lakini pia marafiki zake wa karibu
Imeandikwa na yusuph swaleh
AHADI YA MR T TOUCH 2018 HII HAPA
Producer anayetamba sasa bongo MR T TOUCH ameweza kufunguka nyimbo tano anazozikubali katika mahojiano aliyofanya na ayo tv
Top five hiyo hii hapa chini imesogezwa na yusuph swaleh
01.young d~bongo bahati mbaya{BBM}
02.dully sykes~bombadier
03.jay more~bata
04.bill nass~mazoea
05.roma~zimbabwe
Lakini pia touch katika mahojiano hayo na ayo tv ameahidi kuwa mwaka 2018 miongoni mwa msanii ambaye atafanya nae nyimbo nyingi ni jmore kwa hilo mashabiki wa touch na j more pia wategemee nyimbo nyingi 2018
Imeandikwa na yusuph swaleh


