Producer anayetamba sasa bongo MR T TOUCH ameweza kufunguka nyimbo tano anazozikubali katika mahojiano aliyofanya na ayo tv
Top five hiyo hii hapa chini imesogezwa na yusuph swaleh
01.young d~bongo bahati mbaya{BBM}
02.dully sykes~bombadier
03.jay more~bata
04.bill nass~mazoea
05.roma~zimbabwe
Lakini pia touch katika mahojiano hayo na ayo tv ameahidi kuwa mwaka 2018 miongoni mwa msanii ambaye atafanya nae nyimbo nyingi ni jmore kwa hilo mashabiki wa touch na j more pia wategemee nyimbo nyingi 2018
Imeandikwa na yusuph swaleh
0 comments :
Chapisha Maoni