Mashabiki wengi wa manguli wa music kutoka Tanzania{babu seya na papi kocha} walikuwa wakisubiria kwa hamu kwamba manguli hao wa music baada ya kuachiwa huru kutokana na tamko la raisi wa Tanzania MH john pombe magufuli ni shukrani ipi ambayo wangeweza kuitoa
Lakini leo 01-01-2018 imeweza kuenea kwa picha inayomuonesha papi kocha akiwa amejichora tatoo ya picha ya raisi magufuli kama fadhila za kuachiliwa huru
Pia papi kocha ameonekana katika picha hiyo akiwa amevaa t shirt iliyo na picha ya raisi na yenye maandishi yanayosomeka"tukutane kazini"
Jambo hilo ni kumuonesha raisi magufuli kwamba sasa hivi wapo tayari kuchapa kazi ili maisha yao yaweze kuendelea kama kawaida
Pia tufatilie YouTube kwa kuandika yuzhassal tv
0 comments :
Chapisha Maoni