FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumanne, 26 Desemba 2017

MSAMI KWENYE KITI CHA MOTO AFUNGUKA HAYA

Mwanamuziki wa bongo fleva na dancer msami ameweza kufunguka mambo mengi sana alipofanya mahojiano na @shadee_weriss wa clouds E ya clouds tv
     Kwanza kabisa ni pale alipooulizwa kuhusiana na colabo yake bora ya mwaka 2017 na akaitaja collabo aliyofanya na chemical
     Jambo la pili ni pale alipoulizwa kwamba ni yupi msanii bora kwake kwa mwaka 2017
  Msami kwa hisia kali aliweza kufunguka kwamba msanii bora kwake 2017 ni aslay
     Jambo la mwisho lililotaka kumtoa machozi msami ni pale alipoulizwa "kitu ambacho hawezi kukisahau kwa mwaka 2017"
  Msami alifunguka kwa hisia Kali na kusema ni pale alipopata ajali iliyoyompelekea kushindwa kufanya baadhi ya shows na zingine alizojikaza kisabuni kuzifanya hazikuwa katika quality ya msami
  Lakini msami hakusita kutoa shukrani kwa watu waliokuwa nae bega kwa bega katika matatizo hayo kwa kumtaja kwanza kabisa manager wake,wazazi wake lakini pia marafiki zake wa karibu
Imeandikwa na yusuph swaleh

AHADI YA MR T TOUCH 2018 HII HAPA

Producer anayetamba sasa bongo MR T TOUCH ameweza kufunguka nyimbo tano anazozikubali katika mahojiano aliyofanya na ayo tv
Top five hiyo hii hapa chini imesogezwa na yusuph swaleh
01.young d~bongo bahati mbaya{BBM}
02.dully sykes~bombadier
03.jay more~bata
04.bill nass~mazoea
05.roma~zimbabwe
Lakini pia touch katika mahojiano hayo na ayo tv ameahidi kuwa mwaka 2018 miongoni mwa msanii ambaye atafanya nae nyimbo nyingi ni jmore kwa hilo mashabiki wa touch na j more pia wategemee nyimbo nyingi 2018
Imeandikwa na yusuph swaleh

Jumatatu, 25 Desemba 2017

JIPYA KUTOKA KWA BARNABA HILI HAPA


Ikiwa zimebaki siku sita tu kabla ya kuumaliza mwaka 2017 na kuingia 2018, staa wa Bongofleva Barnaba boy ametangaza kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka huu na atakuwa kimya kimziki kwa muda.

Mkali huyo wa sauti na uandishi wa nyimbo Bongo, ameweka wazi kuwa ukimya wake utaanzia kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na kujipanga namna ya kuuanza kwa kishindo mwaka 2018.

“Nikiwa najitoa kwenye mitandao ya kijamii kidogo, ningependa kuwatakia mashabiki, marafiki na familia yangu Heri ya Christmas na Mwaka Mpya”, amefunguka Barnaba kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Pamoja na kujitoa kwake nyota huyo anayetemba na ngoma yake ya Mapenzi Jeneza ameongeza kuwa anajiweka vizuri kuanzia mwonekano mpaka sound ya hit zake zijazo.

“Ninapumzika kidogo ili kuweka mipango yangu vizuri kwaajili ya mwaka 2018. Nitawaletea Barnaba mpya mwenye kila jipya kimuziki na hata Sound” amesema barnaba
Na yusuph swaleh