FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Jumatatu, 9 Oktoba 2017

NJIA KUU KUMI ZA KUMRUDISHA EX WAKO(BOYFRIEND/GIRLFRIEND)

Image result for EX LOVE

Kuachana na mpenzi wako ni kitu cha kawaida watu hupitia kila siku. Aidha inawezakuwa mmeachana kwa sababu ya kukosana, kutoaminiana, kusalitiana na sababu nyingine nyingi ambazo unazijua wewe.

Aidha, unaweza kukosana na mpenzi wako kwa kosa dogo sana mpaka ukawa unajiuliza maswali ni kwa nini ama ni kitu gani kilichofanya ukosane na mpenzi wako. Wengine inafikia mahali wanatamani kurudiana na wapenzi wao.

katika search engine tumegundua kuwa kuna watu wengi wanasearch mtandao wakitafuta angalau mbinu ya ‘kurudiana na ex wao’. Leo tumeona ni bora zaidi tuwasaidie ndugu zetu ambao wanataka kurudiana na ex wao.

Enyewe inaweza kuwa ngumu unapoachana na mpenzi wako haswa ukizingatia yale mambo yote mazuri ambayo mumekuwa mkifanya mkiwa pamoja. Vile vicheko, tabasamu, saprizes, nk inasisimua.

So utafanyaje urudiane na ex wako? Mbinu zenyewe za kufuata ndizo hizi:

#1 Mtumie Ex wako SMS. Kila kitu huanza na hatua ya kwanza. Mtumie ujumbe wa kawaida tu. Si lazima uandike jumbe ndefu ambayo inaweza kumuuliza kichwa. Unaweza kumtumia jumbe ‘Habari za masiku’. Hapa anaweza kukujibu kinjia mbili. Anaweza kuwa na jibu chanya au hasi. Jibu chanya ni majibu ambayo ni kuonyesha ameridhika kwa kumjulia hali. Anaweza kujibu, ‘Asante kwa kunijulia hali, unaendeleaje?’. Hakikisha humtumii jumbe wakati wote. Jumbe mbili-tatu zinatosha kwa siku. Mwache yeye aanze aproach.

#2 Nenda polepole bila pupa. Kurudiana na Ex wako kunahitaji hatua ya polepole. Hii ni kumaanisha usiingize hisia za mapenzi kwayo. Unataka urudiane na Ex wako hivyo lazima uende na spidi yake. Usiende mbio wakati breki anaikontroli yeye. Pia iheshimu himaya binafsi yake. Ukiwa unaongea naye ana kwa ana weka nafasi kati yako na yeye.

#3 Mpigie simu mara kwa mara. Mpigie simu mara kwa mara. Lakini kama nilivyotangulia kusema katika hatua ya kwanza usiwe na pupa. Usimpigie kila lisaa. Anza kwa kumpigia mara moja kwa siku/mbili. Halafu punguza huo muda pole pole mpaka iwe mazoea ya kumpigia simu. Hii itakuwa na mpigo mkuu kufufua hisia zenu.

#4 Mwambie kuwa unammiss. Mwambie unammisi. Yafanye mazungumzo yenu yawe sahili mwanzo mwanzo. Usimpresha na mambo mazito. Usimkumbushe mambo ambayo yalichangia kwenu kuachana. Tayari anajua. So wewe makinika na kumwonyesha kuwa unamisi uwepo wake kwako. Hakikisha hukumbushi matukio yaliyochangia kuachana kwenu.

#5 Fanya yale mambo madogo madogo. Kufanya mambo madogo madogo kunachangia kuleta mabadiliko. Kwa mfano akitaka usaidizi mdogo wewe unajitokeza unamsaidia bila kuitisha chochote.

#6 Makinika na hisia chanya zenu za awali. Zungumza yale mambo mazuri mliokuwa mnapitia pamoja. Mambo ambayo yaliwafanya mkawa kitu kimoja. Hakikisha kuwa unaepuka kuzungumza mambo yeyote mabaya. Hisia chanya kutachangia kufufua chembechembe zozote za mapenzi ambazo alikuwa nazo.

#7 Tangamana na marafiki wenu wa awali. Kama ameamua kutoka out, hakikisha unatoka na marafiki wenu wa awali. Hakikisha hauzui hisia zozote. Tembea na yeye bila kuwa na hisia zozote. Mchukulie kama rafiki yako tu.

#8 Usizungumzie maisha yako baada ya kuachana. Usijaribu kuyafananisha maisha yako ya sasa na yale ya awali. Usiongee kuhusu maisha yamekuwa magumu ama mazuri tangu uachane na yeye la sivyo utaongeza chumvi ndani ya kidonda.

#9 Usimuombe. Kosa ambalo wengi hufanya ni kumpigia Ex wake magoti na kumwomba warudiane. Ukifanya hivi utakuwa unampa ishara ya kuwa wewe huwezi kujitegemea kivyako hivyo kumfanya akutenge zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kuonyesha confidence.

#10. Enjoy romance. Baada ya kuwasiliana, kumweleza hisia zako na kuingiliana, sasa hapa una nafasi ya kuendeleza romance kama kawaida. Ukifuata mbinu tulizoziorodhesha awali vizuri basi kila kitu kitakuja natural.

Ok. Hizi ndizo mbinu za kufuata kumrudisha Ex wako. Lakini kabla kuchukua hatua hii unapaswa kwaza kujiuliza ni kitu gani kilichochangia nyinyi wawili kuachana. Na je, ukirudiana naye hamtakosana tena 
ukijutia kama kuna kosa ulilifanya itakuwa rahisi sana kumrudisha ex wako kwasababu mambo yote niliyokueleza utayafanya kwa moyo mmoja 

endelea kutufatilia kupitia yuzhassal.blogspot.com
pia youtube kwa kuandika tu yuzhassal tv

IMEANDIKWA KWA USHIRIKIANO NA MSALU.BLOGSPOT.COM

HII NDIO TOP 10 YA NYIMBO ZINAZOONGOZA SASA

Napenda kuanza na nyimbo ya 10 hadi ya 01
                                                            NUMBER 10
10.MADEE FT NANDY-SEMA
                                                                  NUMBER 09
09. WCB-ZILIPENDWA

NUMBER 08
08.OMMY DIMPOZ-CHECHE

NUMBER 07
07. SAIDA KAROLI FT BELLE 9 FT G NAKO-KICHAKA

                                                                       NUMBER 06
06 .DOGO JANJA-NGARENARO
                                                                NUMBER 05
05.RAYMOND-NAIBIWA

                                                          NUMBER 04
04.PATORANKING FT DIAMOND PLATNUMZ-LOVE YOU DIE
                                                                      NUMBER 03
03.ALLY KIBA SEDUCE ME
                                                                  NUMBER 02
02.ASLAY-NATAMBA
                                                                 NUMBER 01
01.DIAMOND PLATNUMZ FT MORGAN HERITAGE HALLELUJAH
ENDELEA KUFATILIA yuzhassal.blogspot.com
pia YOUTUBE yuzhassal tv

Jumapili, 8 Oktoba 2017

NAKUKUMBUSHA HII YA MALEMA NA MWANDISHI WA HABARI WA BBC

LENGO LA DIAMOND PLATNUMZ LAANZA KUTIMIA

Hiyo ni baada ya track yake aliyowashirikisha morgan heritage track inayokwenda kwa jina la HALLELUJAH kupenya katika soko la kimataifa 
hiyo ni baada ya track hiyo kushika namba 09 katika kipindi cha AFRICAROXCOUNTDOWN
ya channel kubwa africa na duniani kote inayokwenda kwa jina la SOUNDCITY
hongera diamond platnumz kwa kuiwakilisha vizuri nchi yetu duniani kote GOD bless you 

KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AZUA MAPYA

Hiyo ni baada ya Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, kumpandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa madaraka zaidi katika chama tawala cha wafanyakazi.

Dada yake ajulikanaye kama Kim Yo-jong, anayekadirika  kuwa na umri wa zaidi ya miaka 26 amekuwa mjumbe katika kamati kuu ya chama, ambalo ni baraza kuu la uamuzi linalojulikana kama politburo.

Bi Kim Yo-jong alipewa kwanza wadhifa wa kuwa afisa wa wa cheo cha juu wa chama, miaka mitatu iliyopita.

tukumbuke kwamba Familia ya Kim, imeongoza Korea Kaskazini, tangu nchi hiyo ilipoundwa, mwaka wa 1948.mpaka sasa 2017

BREAKING NEWS: WATOTO WANUSURIKA KIFO BAADA YA AJALI YA GARI YAO NA GARIMOSHI(TRENI)





Hiyo imetokea mda mfupi uliopitaa jijini tanga inasemekana chanzo inasemekana ni gari iliyokuwa imebeba watoto hao kuzima katikati ya reli
lakini watoto wamenusurika kwenye ajali hiyo baada ya kuruka kila mmoja kwa upande wake

USHAURI WA TID KWA PREZZO DHIDI YA KUMTILIA SHAKA UMBER LULU



Hiyo ni baada ya siku kadhaa nyuma kupita prezzo msanii wa HIP HOP kutoka 254 kenya kuonekana akiwa maeneo wakila bata na video vixin(video queen)umber lulu kutoka 255 bongo dar es salaam

Lakini top in dar es salaam (TID)alifunguka kwa ushauri mzito alipofanya interview na kituo kimoja cha television na kusema anamshauri prezzo kutumia kinga tena expensive kinga kwa maana yeye anamfahamu sana umber lulu

kauli hiyo ilionyesha kumkuna prezzo na kufunguka kwamba msanii TID anatafuta KIKI kwa prezzo kwasababu kapotea sana kwenye game ya bongo fleva




endele kutufuatilia kwa kuandika yuzhassal.blogspot.com

na kututazama youtube kwa kuandika yuzhassal tv

ahsante