FOR THE ENTERTAINMENT UPDATES & INTERVIEWS

Jumatano, 15 Novemba 2017

DADA YAKE MICHAEL JACKSON HATARINI

Dada yake Michael Jackson anayekwenda kwa jina la Janet Jackson yupo hatarini hiyo ni baada ya kufanya plastic surgery ya pua yake alipokuwa na umri wa miaka 16
Kutokana na plastic surgery hiyo imepelekea pua ya Janet Jackson kuanza kumomonyoka na kubabuka jambo ambalo lilishawahi kumtokea kaka yake the late Michael Jackson
Hiyo iliripotiwa na jarida lenye kuaminika nchini marekani
Lakini baada ya newyork post kufanya mahojiano na daktari (Matthew schulman)anayejihusisha na plastic surgery alithibitisha kuwa pua ya dada yake Michael Jackson ipo katika hatua mbaya hiyo ni baada ya janet jackson kufanya plastic surgery zaidi ya mara moja

Endelea kutufuatilia pia YouTube kwa kuandika yuzhassal tv

0 comments :

Chapisha Maoni